Monday, 1 November 2021

BANK OF AFRICA DELEGATION PAYS A VISIT TO ZANZIBAR

Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF AFRICA Adam Mihayo akiwa na Mkurugenzi mkuu wa ZAN OCEAN, pembeni yake ni Mkurugenzi mtendaji wa ZAN OCEAN Suleiman Seif.
Kamishina wa bodi ya mapato Zanzibar Salim Yusuph Ali (katikati) pamoja na wajumbe wa Bank Of Africa (BOA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji na mkurugenzi mkuu Adam Mihayo (wa pili kulia) walipotembelea ofisi za kamishka ZRB jana. Wengine ni Mkurugenzi msaidizi Samir Yassine ( wa pili kushoto) Mkuu wa idara ya wateja wa reja reja Ninaeli Mndeme (kulia) na mkuu wa Business Emmanuel Nzella
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Omar .S. Shaban (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa BANK OF AFRICA (BOA) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu mpya, Adam Mihayo (kushoto) ulipotembelea ofisi kwake jana, wengine pichani ni Naibu Mkurugenzi wa BOA, Samir Yassine (kulia) na Mkurugenzi wa wakala wa kuendeleza Biashara ndogo na za kati Zanzibar (SMIDA), Soud Ali.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru