Tuesday 3 December 2013

Dk. Asha-Rose ateuliwa mbunge




Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Dk. Asha-Rose Migiro, kuwa Mbunge.
Taarifa iliyotolewa Ikulu, mjini Dar es Salaam jana na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Florens Turuka, ilisema uteuzi huo ulianza rasmi juzi.
Dk. Asha-Rose Migiro ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru