Wednesday 11 December 2013

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete, akimkaribisha Malkia Maxima wa Ubelgiji, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana, kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini.(Picha na Yassin Kayombo).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru