MWENYEKITI wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbelss Lema, wamachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa saa tano katika Makao Makuu ya Polisi Jijini Arusha. Mbowe na Lema walihojiwa na maofisa wa polisi wakiongozwa na Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini, Paul Chagonja.
Picha tofauti Mbowe na Lema na viongozi wengine wa chama hicho wakitoka nje ya makao makuu ya polisi. ZAIDI SOMA UHURU KESHO
Thursday, 20 June 2013
Mbowe, Lema wahojiwa kwa saa tano
09:13
No comments
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Toa Maoni Yako Kwa Uhuru