WALINZI wakiwadhibiti wafuasi wa Katibu wa Jumuia za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda kuingia wodini kumuona kiongozi wao alipokuwa akisomewa shitaka la uchochezi katika wodi ya Kitengo cha Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alikolazwa.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Toa Maoni Yako Kwa Uhuru