Tuesday 9 July 2013

MABALOZI


RAIS Jakaya Kikwete akizungumza na mabalozi saba aliowateua hivi karibuni, ambao aliagana nao Ikulu, mjini Dar es Salaam, jana, tayari kwenda kuanza kazi. Mabalozi hao kutoka kushoto ni Modest Melo anayekwenda Umoja wa Mataifa, Geneva, Mabrouk Mabrouk (Abu Dhabi- Umoja wa Falme za Kiarabu), Luteni Jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo (China), Anthony Cheche (Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo), Chabaka Kilumanga (Visiwa vya Comoro), Wilson Masilingi (The Hague, Uholanzi) na  Liberata Mulamula (Marekani). (Picha na Ikulu).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru