Wednesday 3 July 2013

Rooney atua Carrington

Mshambuliaji wa Man Utd ambaye yuko njiapanda kuendelea kuichezea msimu ujao, Wayne Rooney amewasili katika viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo, Carrington kukutana na kocha mpya David Moyes. Mazungumzo baina ya Rooney na maofisa wake pamoja na viongozi wa Man Utd yanafanyika baadaye leo, ambapo itajulikana iwapo ataendelea kuwa ndani ya kikosi ama la.

WAYNE Rooney akiingia katika viwanja vya Carrington leo asubuhi.
Kocha mpya wa Man Utd, David Moyes naye akiingia Carrington kukutana na kijana wake wa zamani, Rooney

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru