Wednesday 12 March 2014

Mramba, Yona ruksa


NA MWANDISHI WETU
WALIOKUWA mawaziri waandamizi wa serikali wanaokabiliwa na kesi ya kuisababishia serikali hasara ya sh. bilioni 11.7 kwa kutoa msama wa kodi wameruhusiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Mawaziri hao ni Basil Mramba na Daniel Yona, jana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, iliwaruhusu kwenda kutibiwa.
Uamuzi huo ulitolewa mahakamani hapo na Jaji John Utamwa baada ya washtakiwa hao kuwasilisha maombi yao.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru