Wednesday 5 March 2014

Rais apokea ujumbe kutoka nchini Ufaransa.


RAIS Jakaya Kikwete, akipokea ujumbe maalumu wa  Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, uliowasilishwa kwake na Waziri wa Biashara wa nchi hiyo, Nicole Bricq, Ikulu, mjini Dar es Salaam, jana.(Picha na Freddy Maro).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru