Mwenyekiti wa CCM, Mwalimu Nyerere akimkabidhi kiongozi wa Wazalendo wa Afrika Kusini Ndugu Nelson Mandela mkuki na ngao ikiwa ni alama ya ushujaa wake, wakati wa kuagana nae Ikulu mjini Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, ndugu Joseph Warioba, mke wa Mwalimu, mama Maria na mke wa Waziri mkuu ndugu Evelyn. (Picha na Mpigapicha Wetu). Hiyo ilikuwa tarehe 12 Machi, 1990.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Toa Maoni Yako Kwa Uhuru