Wednesday 3 July 2013

Baada ya Obama kuondoka, Dar kama zamani

MUUZA viatu akivinjari katikati ya jiji baada ya Rais Obama kuondoka kama alivyokutwa jana. Taarifa zaidi na picha kuhusu kurejea kwa machinga, mama ntilie, gereji bubu na msimamo wa serikali, SOMA UHURU KESHO.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru