Wednesday 3 July 2013

Hatimaye Morsi ang'olewa Misri

KWA mara nyingine mapinduzi yamefanyika nchini Misri. Rais Morsi ambaye alichaguliwa kuongoza taifa hilo baada ya kung'olewa madarakani kwa aliyekuwa Rais wa Misri, Hossen Mubarak tena kwa maandamano makubwa yalidumu kwa zaidi ya miezi kadhaa, naye ameng'olewa kwa njia hiyo hiyo. Jeshi limetangazan jana usiku kuchukua uongozi na kwamba, Morsi si rais tena. zaidi tembelea www.dailymail.co.uk

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru