Wednesday 3 July 2013

Misri hali ni tete

Hali si shwari nchini Misri, ambapo maelfu ya wananchi wameendelea kuandamana kushinikiza kuachia ngazi kwa Rais Morsi. Jana usiku zaidi ya watu 20 wameuawa na wengine 200 kujeruhiwa vibaya huku wananchi wakijaribu kutaka kudondosha helkopta ya jeshi kwa kutumia kamba.www.dailymail.co.uk

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru