Wednesday 3 July 2013

JK atua Sabasaba

RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kuwa busy na leo ametinga katika Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba, mjini Dar es Salaam. Itakumbukwa wiki yote JK alikuwa busy na ugeni mkubwa ulikusanyika nchini akiwemo Rais wa Marekani, Barack Obama. Bravo JK.

RAIS Kikwete akiingia katika viwanja vya Sabasaba, pembeni yake ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda.

Hapa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyabiashara

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru