Wednesday 3 July 2013

Rooney apewa masharti Man Utd

MSHAMBULIAJI wa Man Utd, Wayne Rooney ametakiwa kuandika rasmi barua ya kuomba uhamisho iwapo amepanga kuondoka kwenda kutafuta changamoto mpya kwenye klabu nyingine. Rooney anadaiwa kutofautiana na aliyekuwa kocha wa Man Utd, Sir Alex anahusishwa na mipango ya kuhamia klabu za Chelsea, Arsenal, Barcelona na PSG. Hata hivyo habari kutoka ndani ya Old Trafford zinasema iwapo atauzwa basi atapelekwa kwenye klabu za ligi nyingine na si Uingereza. Zaidi peruzi www.dailymail.co.uk

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru