Wednesday, 20 August 2014


MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akikaribishwa mkoani Dodoma na Mkuu wa mkoa huo, Dk. Rehema Nchimbi, ambako aliongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika juzi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula na wa tatu kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Adam Kimbisa.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru