Tuesday 3 September 2013

RAIS Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal na mke wa Rais, Mama Salma Kikwete wakitoa heshima kwa mwili wa marehemu, Meinrad Maokola, ambaye ni kaka wa Waziri mstaafu, Maokola Majogo. Alifariki dunia, Dar es Salaam jana na kuagwa huko Masaki. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru