Tuesday, 2 September 2014

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Sheni akisalimiana na Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro, walipokutana kwa mazungumzo jana wakati wa Mkutano wa Nchi za Visiwa unaoendelea katika mji wa Samoa. (Picha ya Ikulu-Zanzibar).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru