Saturday 14 March 2015

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishiriki kupalilia shamba la mpunga, Mto wa Mbu, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, akiwa katika ziara ya kuhimiza uhai wa Chama na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mkoani humo. (Picha na Adam Mzee).

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru