Wednesday, 25 March 2015

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, MKOA WAKILIMANJARO

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga, alipowasili katika Kijiji cha Mikocheni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, kuendelea na ziara yake ya kuhimiza uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mkoani humo.

MWENYEKITI wa CCM wilaya ya Moshi Vijijini, Gabriel Massenga, akihutubia wananchi, katika Kijiji cha Mikocheni.

KATIBU Mkuu wa CCM, Kinana,akishiriki uvunaji wa mpunga katika shamba lakilimo cha umwagiliaji la Lower Moshi.

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Dk. Cyril Chami, akihutubia wananchi katika Kijiji cha Chekereni kata ya Mabogeni.


KATIBU Mkuu wa CCM, Kinana, akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Kilimanjaro (KVTC), mjini Moshi.

KATIBU Mkuu wa CCM, akihutubia mkutano wa hadhara, katika Kijiji cha  Mangi, kata ya Kibosho Kati.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru