Wednesday, 18 March 2015

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akiwasalimu wananchi, alipowasili  katika Kijiji  cha Engikaret, Wilaya ya Longido mkoani Arusha, akiwa katika ziara ya kuhimiza uhai wa Chama na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. (Picha na Adam Mzee). Picha zaidi uk. 11.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru