Thursday, 12 March 2015

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - DODOMA

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulraman Kinana, akihutubia wakazi wa kitongoji cha Itolwa wilayani Chemba, mkoani Dodoma juzi,  ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kujenga na kuimarisha Chama pamoja na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.
KATIBU wa NEC,  Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akiwahutubia wakazi wa Itolwa.

HII ni sehemu ya umati wa wananchi wa kitongoji cha Itolwa, waliofurika kusikiliza hotuba za viongozi wa juu wa CCM.

MBUNGE wa Jimbo la Kondoa Kusini,  Juma Nkamia, akiwahutubia wakazi wa Itolwa wakati wa mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

MKUU wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa akiwasalimia wakazi wa Itolwa.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru