Wednesday, 11 March 2015

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - BAHI

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisoma bango la wananchi wa kijiji cha Msisi, waliokuwa wakilalamikia shule yao ya msingi ya Msisi kutoezekwa paa tangu lilipoezuliwa na upepo mkali mwaka 2011. (Picha zote na Adam Mzee).
KINANA (kushoto), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, wakishiriki kuandaa shamba la zabibu, katika Kijijini cha Lamaiti wilayani Bahi
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akipata mapokezi makubwa baada ya kuwasili katika wilaya ya Bahi.
BAADHI ya wananchi wa kijiji cha Nguji wakiwasikiliza viongozi wa CCM wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.

KINANA akiwa ameweka jembe begani, akielekea shambani kushiriki kuandaa shamba la zabibu katika kijiji cha Lamaiti, wilaya ya Bahi mkoani Dodoma.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru