Tuesday, 3 March 2015

MAPOKEZI YA MWILI WA KAPT. KOMBA RUVUMA

MKUU wa Mkoa Ruvuma, Said Mwambungu akizungumza na wananchi waliofika katika uwanja Majimaji, Songea kabla ya kutoa heshima heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi , Marehemu Kapteni John Komba.

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma, Helena Shumbusho baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea,  mkoani humo kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu, Kapteni John Komba ambaye amezikwa kijijini kwao Lituhi.

JENEZA lililobeba mwili wa marehehemu Kapteni John Komba likiwasili katika uwanja wa ndege wa Songea, ili kuagwa kwenye uwanja wa Majimaji, Songea, jana.

JENEZA lililobeba mwili wa marehehemu Kapteni John Komba likiwasili katika uwanja wa Majimaji, Songea, jana kwa ajili kuagwa.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru